Huyu ndiye Mchezaji wa Kwanza aliyethibitishwa Yanga Dirisha dogo

Huyu ndiye Mchezaji wa Kwanza aliyethibitishwa Yanga Dirisha dogo

0

 

Huyu ndiye Mchezaji wa Kwanza aliyethibitishwa Yanga Dirisha dogo

Klabu ya Yanga huenda sasa ikaanza kuwafurahisha washabiki wake kwani toka dirisha dogo la Usajili lifunguliwe Yanga hawakuthibitisha mchezaji yoyote kusajiliwa kwenye klabu yao.

Yanga leo kupitia kwa afisa habari wake msaidizi Godlisten Anderson “Chicharito” Amefunguka kuwa Mchezaji Reuben Bomba atamalizana na Uongozi wa Yanga wakati wowote na muda wowote ataweza kutangazwa kama mchezaji wa Yanga.

Zahera ashangazwa na jambo hili Yanga

Chicharito msomaji wa Kwataunit.co.ke  ameenda mbali na Kusema kuwa mchezaji huyo siku ya Kesho anaweza kuwa moja ya wachezaji watakaofanya mazoezi na Kikosi cha Yanga kitakachokuwa kikijiandaa na Mchezo dhidi ya Biashara United.

Kuhusu usajili wa wachezaji wengine wanaotajwa kama Kenny Ally, Vitalis Mayanga na Eliud Ambokile afisa habari huyo wa Yanga amefunguka masuala ya wachezaji hao hayajafika kwenye meza yake zaidi ya Reuben Bomba raia wa DRC Congo anayecheza kama winga wa Pembeni.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY