Kumbe Aussems aliwambia haya wachezaji kabla ya kuwakabili Mbabane

Kumbe Aussems aliwambia haya wachezaji kabla ya kuwakabili Mbabane

0

 

Kocha Patrick Aussems amezidi kuwa kipenzi kwa washabiki wa Simba hasa kutokana na matokeo mazuri ambayo klabu ya Simba imekuwa ikiyapata.

Lakini wengi hawakufikiri kama Simba ingeweza kupata Ushindi mkubwa tena Ugenini wakicheza na Mbabane Swallows

Lakini kumbe nyuma ya Hilo kocha huyo alikuwa ashawaambia wachezaji kuwa wasicheze mchezo wa kuzuia na Kulinda matokeo.

“Nilisema hatukuja hapa kuzuia na kulinda matokeo. Wachezaji walielewa vizuri sana mpango huo na kufanya kazi nzuri”-

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY