Matokeo Azam Fc vs Mbao Fc TPL leo 7.12.2018

Matokeo Azam Fc vs Mbao Fc TPL leo 7.12.2018

0

Matokeo Azam Fc vs Mbao Fc TPL leo 7.12.2018

Karibu kwenye matokeo ya moja kwa Moja kupitia Kwataunit.co.ke na Kwataunitapp kati ya Azam Fc dhidi ya Mbao Fc uwanja wa Azam

Mechi Imeanza

Azam Fc 0 – 0 Mbao Fc

Dakika 15

Azam Fc 0 – 0 MbAO fC

Dakika ya 26 Mbao Fc wanafanya Shambulizi linasababisha Kona

Inapigwa Kona inashindwa kuzaa matunda kwa Mbao Fc

Dakika 30

Azam Fc  0 – 0 Mbao Fc

Dakika ya 31 Azam Fc wanapata Kona baada ya kipa wa Mbao Fc kuutoa mpira Uliokuwa ukielekea langoni mwake.

Goaaaaal dakika ya 36 Aggrey Morris anaipatia Azam Fc bao la Kuongoza kwa mpira wa Adhabu, Anapiga vyema Free Kick na Kuipatia Azam Bao la Kuongoza

HALF TIME

Azam Fc 1 – 0 Mbao Fc.

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha Pili Kimeanza matokeo yakiwa bado 1 kwa Azam na 0 KWA Mbao Fc

Kipindi cha pili kimeanza kwa Mbao Fc kumilki na kutengeneza mashambulizi zaidi langoni mwa Azam fc

Dakika ya 50

Azam Fc 1 – 0 Mbao Fc

Goaaaaaaaaal dakika ya 54 Joseph Mahundi anaipatia Azam Fc bao la Pili baada ya Kazi nzuri aliyoianzisha mwenyewe

Azam Fc 2 – 0 Azam Fc

Goaaaaal dakika ya 57 Joseph Mahundi anaipatia Azam Fc bao la tatu

Goaaaal dakika ya 63 Azam Fc wanaandika bao la 4 kupitia kwa Sure Boy

Azam Fc 4 – 0 Mbao Fc

Dakika 70

Azam Fc 4 – 0 Mbao fc

Full time

Azam fc 4 – 0 Mbao Fc

.Ukiachana na Kupata breaking news za Kimichezo kila wakati Sasa Unaweza Kusikiliza Radio Online kupitia Kwata Unit App Install Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY