Matokeo mechi 3 za Leo Ligi kuu TPL

Matokeo mechi 3 za Leo Ligi kuu TPL

0

Matokeo mechi 3 za Leo Ligi kuu TPL

Leo zimechezwa jumla ya Mechi 3 moja ikiwa ni kiporo cha Jana na Mbili za Leo na Kukamilisha Jumla ya Mechi 3.

  1. Mwadui Fc 1 – 1 KMC ( Salim Aiyee 21′ , Emmanuel Mvuyekule 15′ )
  2. Tanzania Prisons 1 – 3 Yanga (Jumanne Elifadhili,  – Tambwe 2, Ajibu)
  3. Lipuli Fc 2 – 1 Biashara United (Taro Donald Og,Zawadi Mauya – Malibicha)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY