Matokeo Nyassa Big Bullets vs Gor Mahia leo

Matokeo Nyassa Big Bullets vs Gor Mahia leo

0

 

 

Matokeo Nyassa Big Bullets vs Gor Mahia leo

Timu ya Gor Mahia imefanikiwa kufuzu hatua inayofuata klabu bingwa barani Afrika baada ya kuwafurusha Nyassa Big Bullets ya Malawi kwa njia ya penati.

 

Mechi ya Kwanza Gor Mahia walipata ushindi wa bao 1 kwa 0 na Katika mchezo wa leo wamekubali kichapo cha bao 1 kwa 0 hivyo kupelekea Matokeo ya jumla kuwa 1 kwa 1.

Baada ya penati kupigwa Gor Mahia wameshinda kwa penati 4 dhidi ya 3 za Nyassa Big Bullets

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY