Matokeo Sumbawanga United vs Yanga leo

Matokeo Sumbawanga United vs Yanga leo

0

 

Klabu ya Yanga leo ikicheza mchezo wa Kirafiki huko mkoani Rukwa katika makao makuu ya mkoa Huo Wilaya ya Sumbawanga imekubali Kichapo mbele ya Sumbawanga United.

Yanga imekubali kufungwa bao 2 kwa 1 na wenyeji wao Sumbawanga United katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Mandela Mkoani Rukwa

Goli pekee la Yanga liliwekwa Kimyani na Mchezaji Thaban Kamusoko.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY