Matokeo Yote ligi kuu Tanzania bara TPL leo

Matokeo Yote ligi kuu Tanzania bara TPL leo

0

 

Matokeo Yote ligi kuu Tanzania bara TPL leo

Ligi kuu soka Tanzania bara maarufu zaidi kama TPL leo iliendelea kwa mechi 2 kuchezwa.

Timu ya mwadui Fc iliwaalika Alliance Fc kutoka mwanza katika uwanja wa Mwadui Complex mechi hiyo imeisha kwa mwadui kushinda bao 4 kwa 0

Mabao ya Mwadui Fc yalifungwa na Ottu Joseph magoli mawili, Girukwishaka na Irakoze wakifunga bao moja moja kila mmoja.

MATOKEO NDANDA VS TANZANIA PRISONS

Nao Ndanda Fc ya Mkoani mtwara imeshindwa kuutumia vizuri uwanja wake wa Nyumbani mara baada ya kubanwa na Prisons kwa kutoka sare ya Bila Kufungana katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani mtwara.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY