Mechi 5 Zilizobaki kwa Yanga kumaliza Raundi ya 1 TPL

Mechi 5 Zilizobaki kwa Yanga kumaliza Raundi ya 1 TPL

0

Mechi 5 Zilizobaki kwa Yanga kumaliza Raundi ya 1 TPL

Yanga imebakiza mechi 5 pekee ili kuweza kumaliza mzunguko wa kwanza wa ligi kuu soka Ya Tanzania Bara Maarufu zaidi kama TPL

Mechi ambazo Yanga imebakiza kumaliza mzunguko wa kwanza

9.12.2018 (Jpili) – Yanga vs Biashara – nyumbani

16.12.2018 (Jpili) – Yanga vs Ruvu Shooting – nyumbani

23.12.2018 (Jpili)- African Lyon vs Yanga – ugenini

29.12.2018 (Jmosi) – Mbeya City vs Yanga – ugenini

2.1.2019 (Jtano) – Azam vs Yanga – ugenini

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY