Patrick Aussems : Kwasasa sifikirii Ligi Kuu

Patrick Aussems : Kwasasa sifikirii Ligi Kuu

0

Patrick Aussems : Kwasasa sifikirii Ligi Kuu

Kocha mkuu wa Klabu ya SImba Patrick Aussems amefunguka kuwa kwasasa hafikirii kuhusiana na Ligi Kuu na badala yake anafikiria zaidi michuano ya Kimataifa ambayo Simba inahitaji kufuzu ili kuingia hatua ya Makundi.

“Kwa sasa sifikirii ligi, timu yetu inakabiliwa na michezo ya ligi ya mabingwa, tunahitaji kufuzu kwa hatua ya makundi,” amesema

“Hatuna wasiwasi na michezo ya kiporo sababu tuna kikosi imara ambacho kitaweza kupata matokeo na kuzifikia timu zilizo mbele yetu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY