Ratiba mechi 2 za Leo ligi kuu Tanzania Bara TPL

Ratiba mechi 2 za Leo ligi kuu Tanzania Bara TPL

0

 

Ratiba mechi 2 za Leo ligi kuu Tanzania Bara TPL

Ligi kuu soka Tanzania bara TPL itaendelea leo kwa jumla ya mechi 2 kuchezwa katika miji miwili nchini Tanzania .

Mechi ya kwanza leo itakuwa ni kati ya Singida United watakaoshuka uwanjani kucheza dhidi ya Stand United katika uwanja wa Namfua mkoani Singida, Mechi hii Itaanza saa kumi kamili alasiri.

Mechi ya Pili itakuwa kati ya Azam Fc watakaokuwa wenyeji wa Mbao Fc kutoka Mkoani mwanza mechi hii msomaji wa Kwataunit.co.ke itachezwa katika uwanja wa Azam majira ya saa moja kamili usiku.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY