Ratiba mechi 2 za Leo Ligi kuu TPL 7 December 2018

Ratiba mechi 2 za Leo Ligi kuu TPL 7 December 2018

0

Ratiba mechi 2 za Leo Ligi kuu TPL 7 December 2018

Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara TPL itaendelea leo kwa mechi 2 kuchezwa.

Huko mkoani Mtwara kutakuwa na mchezo kati ya Ndanda Fc watakaokuwa wenyeji wa Tanzania Prisons kutoka Mbeya,

Na Huko Mkoani Shinyanga kutakuwa na mchezo kati ya Mwadui Fc watakaoikaribisha Alliance Fc ya Mkoani Mwanza.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY