Ratiba mechi za Serengeti Boys COSAFA 2018

Ratiba mechi za Serengeti Boys COSAFA 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

 

 

Ratiba mechi za Serengeti Boys COSAFA 2018

Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 Tanzania Serengeti Boys imealikwa kushiriki michuano ya COSAFA mashindano yanayohusisha timu za Kusini mwa bara la Afrika mwaka huu michuano ikifanyika Botswana.

Serengeti Boys ipo KUNDI B na timu za Afrika Kusini, Angola na Malawi.

Ratiba Iko Hivi

6 December 2018 – Angola vs Tanzania

9 December 2018 – Tanzania vs Malawi

11 December 2018 – Tanzania vs Afrika Kusini

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY