Simba kuwasili Tanzania Mchana wa Leo

Simba kuwasili Tanzania Mchana wa Leo

0

Simba kuwasili Tanzania Mchana wa Leo

Klabu ya Simba inatarajiwa kuwasili nchini leo saa nane na Nusu mchana wakitokea Eswatini ambapo walikamilisha zoezi la kuwatoa Mbabane Swallows kwa bao 8 kwa 1.

Kupitia Ukurasa wao wa Instagram Simba wameandika Ujumbe Huu hapo chini

Leo Alhamisi saa 8:30 mchana timu yetu itawasili nchini ikitokea eSwatini ilipokwenda kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

View this post on Instagram

Leo Alhamisi saa 8:30 mchana timu yetu itawasili nchini ikitokea eSwatini ilipokwenda kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

A post shared by Simba SC Tanzania (@simbasctanzania) on

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY