Taarifa mpya kutoka TFF kuhusu uchaguzi wa Yanga

Taarifa mpya kutoka TFF kuhusu uchaguzi wa Yanga

0

Taarifa mpya kutoka TFF kuhusu uchaguzi wa Yanga

Shirikisho la soka  nchini Tanzania TFF limetangaza tarehe ya Usahili kwa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa Yanga.

TFF imewataka Wagombea kufika wakiwa na Vyeti vyao Halisi na Pia uthibitisho wa Uanachama.

Usahili huo utafanyika kwa siku mbili 6 December 2018 na 7 December 2018 makao makuu ya TFF.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY