Tetesi za usajili Simba dirisha dogo leo 6 December 2018

Tetesi za usajili Simba dirisha dogo leo 6 December 2018

0

 

 

Tetesi za usajili Simba dirisha dogo leo 6 December 2018

Mambo yanazidi kuwa mambo wakati huu wa dirisha dogo la usajili wakati ambao zimebakia siku 9 pekee dirisha la Usajili liweze kufungwa.

Taarifa ikufikie kuwa suala la Emmanuel Okwi kuondoka Simba huenda likafahamika siku chache tu kutoka sasa yani kabla ya dirisha dogo kufungwa.

Ratiba Mechi za Serengeti Boys COSAFA 2018

Taarifa kutoka kwa moja ya vigogo wa Simba ameitonya kwataunit.co.ke kuwa Kuna Jumla ya Ofa tatu kutoka Afrika Kusini zikimtaka mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi.

Lakini kuna timu moja inayoelezwa kuwa serious zaidi ya timu hizo nyingine mbili kutoka Afrika Kusini, Na Kulingana na chanzo chetu Simba imevitaka vilabu hivyo vinavyohitaji saini ya Okwi basi waandike barua rasmi ya kumtaka Okwi ili mambo yaende kitaalamu.

Inaelezwa Klabu ya Kaizer Chief ndiyo wameonyesha nia zaidi ya Kumtaka Emmanuel Okwi wakiwa wametangaza dau kubwa zaidi la kuhakikisha wanainasa saini ya mganda huyo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY