TFF yamtangaza kocha bora TPL mwezi November

TFF yamtangaza kocha bora TPL mwezi November

0

TFF yamtangaza kocha bora TPL mwezi November

TFF kupitia kwa kamati ya Tuzo imechagua kocha mkuu wa Klabu ya Yanga Mwinyi Zahera kuwa kocha bora mwezi November 2018.

Kupitia Ukurasa wa Twitter Wa Shirikisho la Soka Nchini TFF limeandika Ujumbe huu.

Kamati ya Tuzo imemchagua Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera kuwa Kocha Bora wa Novemba akiwashinda Kocha Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda na Kaimu Kocha Mkuu wa Alliance FC, Gilbert Dadi alioingia nao fainali.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY