Ujumbe wa John Bocco kuelekea mechi na Mbabane leo

Ujumbe wa John Bocco kuelekea mechi na Mbabane leo

0

Ujumbe wa John Bocco kuelekea mechi na Mbabane leo

Kuelekea pambano kati ya Mbabane Swallows na Simba Huu ndiyo ujumbe wa Nahodha wa Simba John Raphael Bocco kuelekea mechi hiyo.

“Tunajua ni timu nzuri alafu pia wanacheza nyumbani, tunajua tutakutana na changamoto lakini tutapambana ili tuweze kufanya vizuri”- 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY