Zahera mtata Asee awakatalia jambo Hili TFF

Zahera mtata Asee awakatalia jambo Hili TFF

0

 

Zahera mtata Asee awakatalia jambo Hili TFF

Nafikiri watu wengi wakiwa bado wanazo kumbukumbu za mechi kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Yanga pambano likichezwa jijini Mbeya na wengi wakiwa bado wanakumbukumbu kutokana na mechi kuwa na matukio mengi.

Moja ya tukio lililotokea lilikuwa ni lile la Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi Kuingia uwanjani baada ya Yanga kufunga bao la kuongoza likipachikwa na Amis Tambwe.

Othman Kazi ataja watano waliostahili kadi nyekundu Prisons vs Yanga

Akizungumza baada ya kutoka Mbeya na Sumbawanga kocha Mwinyi Zahera akiulizwa kuhusu kuhofia juu ya Kufungiwa na TFF kutokana na kitendo chake cha kuingia uwanjani alijibu kuwa hakuna Sheria ya Kumfungia kocha huyo.

Zahera msomaji wa Kwataunit.co.ke alifunguka kuwa hakuna sheria ya Kufungiwa ila wakitaka kulipa atalipa.

Kufungiwa nini? Klopp alifanya nini alilipa? wakiniambia nilipe ntalipa lakini hakuna sheria inayosema ukiingia uwanjani Unafungiwa, wakisema nilipe ntalipa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY