Alichokisema Ulimwengu baada ya kutua na Js Saoura

Alichokisema Ulimwengu baada ya kutua na Js Saoura

0

Alichokisema Ulimwengu baada ya kutua na Js Saoura

Thomas Ulimwengu akiwa na kikosi cha Js Saoura usiku wa 10 January waliwasili nchini tayari kwa mchezo wa 12 January dhidi ya Simba .

Baada ya kutua nchini Tanzania alisema wao kama Js Saoura wamehiandaa vyema na mchezo huo

Huku akielezea furaha aliyonayo kurudi kucheza Nyumbani, Kuhusu Simba alisema hajui kitu kuhusu Simba lakini anachosikia ni kuwa Simba ni timu nzuri hivyo wao kama wachezaji wamejiandaa kucheza na timu nzuri

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY