Alichokisema Zahera baada kutolewa Sportpesa

Alichokisema Zahera baada kutolewa Sportpesa

0

Alichokisema Zahera baada kutolewa Sportpesa

Mara baada ya Yanga kufurushwa nje ya Michuano ya Sportpesa kwa mwaka 2019 kocha wao Mwinyi Zahera aemefunguka juu ya sababu zilizoifanya Yanga kuondolewa kwenye michuano Hiyo.

Zahera msomaji wa Kwataunit.co.ke ameongelea kucheza mechi bila kupumzika kwa muda na kisha kuunganisha Sportpesa.

“Mechi zipo karibu sana, tumetoka Shinyanga na kufikia mazoezi halafu mechi. Ukingalia hawa hata hawakufanya jambo kwa karibu siku nne,”

alisema Zahera raia wa DR Congo.


“Lakini hiyo bado siwezi kufanya kama kisingizio, najua hapa watasema najitetea lakini ni uhalisia. Tumetoka na tuwapongeze walioshinda.”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY