Alichokisema Zahera baada ya Kumuona Mo Banka mazoezini

Alichokisema Zahera baada ya Kumuona Mo Banka mazoezini

0

Alichokisema Zahera baada ya Kumuona Mo Banka mazoezini

Siku kadhaa baada ya kuanza kufanya mazoezi na kikosi cha Yanga Mchezaji aliyekuwa amefungiwa kujihusisha na Soka Mohammed Issa Banka ameelezewa uwezo wake na Kocha Zahera Mwinyi.

Zahera Mwinyi ameeleza kuvutiwa na uwezo wa Banka na kusema mchezaji huyo ataongeza nguvu kubwa sana kwenye kikosi cha Yanga atakapoanza kuitumikia rasmi mwezi ujao.

” Nimevutiwa sana na Banka, ukimuona uwanjani mazoezini utagundua kwamba ni mchezaji, ambaye licha ya kuwa nje kwa muda mrefu, lakini alikuwa ak-izingatia nidhamu ya mwili, nilikuwa nahitaji sana mtu kama huyu katika timu yangu,”

Install app yetu upate Breaking news za Yanga na Simba Bonyeza hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY