Alliance yaichakaza African Lyon ugenini

Alliance yaichakaza African Lyon ugenini

0

Alliance yaichakaza African Lyon ugenini

Timu ya Alliance Fc ya jijini Mwanza iliyoanza ligi kwa kusuasua imeendelea kufanya vizuri katika ligi Mara baada ya kupata ushindi ugenini.

Alliance Fc ambayo kwasasa inaonekana gari kuwaka ilipata ushinfi wa bao 2 kwa 0 mbele ya African Lyon waliokuwa nyumbani.

Bao LA kwanza LA Alliance lilipatikana kupitia kwa Bigirimana Blaise dakika ya 19 na bao LA pili kupitia kwa Dickson Ambundo dakika ya 57

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY