Amka na Habari hii kutoka Simba huko Misri

Amka na Habari hii kutoka Simba huko Misri

0

Amka na Habari hii kutoka Simba

Klabu ya Simba itakuwa ikikabiliwa na mchezo wake wa tatu wa hatua ya Makundi dhidi ya Al Ahly 2 February 2019 huko mjini Alexandria nchini Misri.

Simba itashuka kucheza mchezo huo ikiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo wa kundi lake juu yake wakiwepo Al Ahly mwenye point 4 na As Vita mwenye alama sawa na Simba Points 3 lakini wakizidiana uwiano wa magoli ya kufunga na kufungwa.

Install App bora ya Michezo Tanzania

Kuelekea mchezo huo Simba jana kwa mara ya kwanza wamefanya mazoezi kwenye ardhi ya mji wa Alexandria kujiandaa dhidi ya mchezo huo wakifanya mazoezi majira ya saa moja usiku.

Katika mazoezi ya Simba msomaji wa Kwataunit.co.ke wachezaji walionekana wazi kusumbuliwa na baridi kali lililopo huko Misri kwa sasa lakini kadiri muda ulivyokuwa ukizidi walionekana kuzoea hali hiyo.

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY