Aussems ahofia hili kwa Al Ahly

Aussems ahofia hili kwa Al Ahly

0

Aussems ahofia hili kwa Al Ahly

Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji Patrick Aussems “Uchebe” amefunguka mambo kadhaa kuelekea mchezo kati ya Simba na Al Ahly mchezo utakaochezwa February 2 2019 huko mjini Alexandria nchini Misri.

Kuelekea pambano hilo kocha huyo ameonyesha hofu yake juu ya waamuzi ambao watachezesha pambano lao kwa kusema kuwa kuna haja ya kuwaweka sawa kisaikolojia wachezaji wake kuelekea mchezo huo.

Install App bora ya Michezo Tanzania

Aussems msomaji wa Kwataunit.co.ke alisema unapocheza mchezo na Waarabu au timu aina ya Al Ahly ni lazima wachezaji wawekwe sawa kisaikolojia kwani waamuzi huwa wanafanya kila namna kuhakikisha wanawasaidia kwa namna moja au nyingine.

Mchezaji,Kipa na Mfungaji Bora Sportpesa 2019

Hivyo basi ni lazima waingie uwanjani wakijua hilo na waanze mchezo kwaakili ya kuwa tayari Al Ahly wanaongoza kwa goli moja maana kupewa au kutengenezewa goli na mwamuzi kwa timu kama Al Ahly ni hali ya kawaida sana.

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY