Baada ya hofu Kagere Kuwa majeruhi Simba wafunguka ukweli

Baada ya hofu Kagere Kuwa majeruhi Simba wafunguka ukweli

0

Baada ya hofu Kagere Kuwa majeruhi Simba wafunguka ukweli

Wakati Simba wakiwa bado wanahofu kuhusu hali ya Erasto Nyoni baada ya kuumia katika mchezo kati ya Simba na KMKM kuna hofu nyingine ilitanda kuhusiana na hali ya Meddie Kagere

Erasto Nyoni amchanganya Aussems Afunguka haya

Hofu hiyo ilitokana na kukosekana kwa Kagere hata katika Subs za kikosi cha Simba kilichocheza jana dhidi ya KMKM huku baadhi ya taarifa zikieleza kuwa mchezaji huyo alikuwa majeruhi kuelekea mchezo huo.

Mratibu wa Simba Abbas Suleiman ameeleza kuwa Kagere siyo majeruhi amekuwa akifanya mazoezi kama kawaida na kutotumika kwake katika mchezo wa jana dhidi ya KMKM ilikuwa ni mipango ya kocha Patrick Aussems.

Like ukurasa wetu wa Facebook Hapa kwa habari zaidi

Install Simba na Yanga Breaking News App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY