Baba yake Ali Kiba afariki Dunia

Baba yake Ali Kiba afariki Dunia

0

Baba yake Ali Kiba afariki Dunia

Baba wa wasanii Ali Kiba na Abdu Kiba mzee Saleh Kiba amefariki Dunia leo baada ya Kuugua na kulazwa Katika Hospitali ya Taifa ya Tanzania Muhimbili kwa muda wa wiki 3 sawa na siku 21.

Ofisa Uhisiano wa hospitali ya Muhimbili Neema Mwangomo amethibitisha kifo cha baba wa wasanii hao Abdul Kiba na Ali Kiba ambaye alithibitisha pia kumpkea mzee huyo Tangu mwaka jana December 27 2018.

Msiba utakuwa kwao na Ali Kiba Kariakoo jijini DAR Es Salaam katika Mtaa wa Muheza

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY