BASATA yawafungulia Diamond na Rayvanny

BASATA yawafungulia Diamond na Rayvanny

0

Balaza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa Januari 22, 2019 kuwafungulia wasanii Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvan’ na Tamasha la Wasafi baada ya kufungiwa kwa kipindi kisichojulikana kutokana na sababu za kimaadili,

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY