Breaking News: Maamuzi ya Rufaa ya AFC Leopards kwa Simba

Breaking News: Maamuzi ya Rufaa ya AFC Leopards kwa Simba

0

Breaking News: Maamuzi ya Rufaa ya AFC Leopards kwa Simba

Siku moja baada ya AFC Leopards kuikatia Rufaa klabu ya Simba kutokana na kutumia wachezaji ambao hawajasajiliwa na Simba huku mchezaji Lamine Moro akitajwa kuwa anamkataba na Klabu ya Buildcon ya Zambia Rufaa yao imetolewa majaribio.

AFC Leopards walitaka Simba iondolewe kwenye michuano hiyo kutokana na kukiuka kanuni za mashindano ya Sportpesa Super Cup.

Baada ya kamati ya mashindano kukaa na kupitia rufaa ya AFC Leopards imeikuta Simba kuwa na haki ya kuwatumia wachezaji hao kulingana na Kanuni ya 5.5 inayoruhusu timu kutumia wachezaji watatu wapya ambao watapewa vibali vya muda kwaajili ya mashindano hayo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY