Breaking News : Uchaguzi Yanga waahirishwa sababu hizi hapa

Breaking News : Uchaguzi Yanga waahirishwa sababu hizi hapa

0

Breaking News : Uchaguzi Yanga waahirishwa sababu hizi hapa

Wakati wengi wakiwa wanusubiri kwa hamu na wengine wakiwa hawajui kutokana na mambo mengi yaliyokuwa yakiukumba uchaguzi wa Yanga hatimaye Kamati ya Uchaguzi TFF imeuahirisha uchaguzi wa Ynaga uliokuwa ufanyike 13 January 2019.

Sabau za Kuahirishwa uchaguzi huo zimeelezwa kuwa ni baadhi ya wanachama kufungua kesi ya kuzuia uchaguzi huo katika mikoa ya Dar Es Salaam, Mbeya na Morogoro.

“Hatutaki kwenda kinyume na mahakama , Tumeamua kusitisha mchakato huo hadi tutakapopata oda ya mahakama “

Alisema Mchungahela ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Usajili wa TFF.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY