Habari mpya 2 Kutoka Simba Jioni ya Leo

Habari mpya 2 Kutoka Simba Jioni ya Leo

0

Habari mpya 2 Kutoka Simba Jioni ya Leo

Klabu ya Simba ya Jijini Dar Es Salaam jioni ya leo imetoa Taarifa mbili muhimu kwa washabiki, wapenzi na wanachama wa klabu hiyo.

Taarifa ya Kwanza ni kuhusu Kuteuliwa kwa meneja wa Muda wa Simba ambapo Patrick Rweyemamu amechaguliwa kama meneja wa muda kushikiria nafasi ya aliyekuwa meneja wa Simba Richard Robert ambaye alifungiwa mwaka mmoja kujihusisha na Soka.

Install App bora ya Michezo Tanzania

Taarifa nyingine ni kuhusu Safari ya Simba kuelekea nchini Misri ambapo kesho jioni kikosi cha Simba cha WACHEZAJI 20 kitasafiri kuelekea nchini Huko kwaajili ya mchezo dhidi ya Al Ahly February 2019.

Hata hivyo taarifa za ndani ambazo kwataunit.co.ke tumepenyezewa Simba watafanya mazoezi asubuhi kama kawaida kabla ya baadae kuondoka kwenda Misri majira ya Jioni

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY