Habari mpya Kutoka Simba Jioni Hii

Habari mpya Kutoka Simba Jioni Hii

0

Kikosi cha Simba leo kiliondoka Asubuhi kuelekea Nairobi Kenya na kisha baadae kuunganisha kwa ndege kuelekea Kinshasa Nchini Congo.

Kupitia Kurasa za Kijamii Simba wametaarifu uma kuwa wamewasili salama.

Kikosi chetu kimewasili salama mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo siku ya Jumamosi Januari 19, 2019 kitacheza mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita Club.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY