Habari mpya kutoka Simba usiku huu
Kuelekea mchezo kati ya AS Vita Club ya Congo na Simba klabu ya Simba usiku wa leo wametoa Taarifa kuhusu gharama za safari kwa watu ambao watahitaji kusafiri na Timu kwaajili ya kuwashabikia nchini Congo.
Kupitia kurasa za Simba za mitandao ya Kijamii wameandika ujumbe Huu.
Gharama za kwenda DR Congo kuishangilia timu yetu itakapocheza na AS Vita Club katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wakubwa wanafaidi App – Jione Hapa

Gharama za kwenda DR Congo kuishangilia timu yetu itakapocheza na AS Vita Club katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. pic.twitter.com/ibm3GgqtVt
— Simba SC Tanzania (@SimbaSCTanzania) January 14, 2019
Wakubwa wanafaidi App – Jione Hapa
Loading...