Habari mpya kutoka yanga asubuhi leo 17 January 2019

Habari mpya kutoka yanga asubuhi leo 17 January 2019

0

Habari mpya kutoka yanga asubuhi leo 17 January 2019

Kikosi cha Yanga leo alfajiri kimeondoka kuelekea Mwanza na baadaye Shinyanga kuwafata Stand United katika mchezo utakaochezwa Jumamosi katika uwanja wa CCM Kambarage.

Kupitia Ukurasa wa Yanga wa Instagram wameandika kuwa kikosi cha Yanga kinaelekea Shinyanga na jumla ya wachezaji 18.

Msafara wa Kikosi chetu tayari umeondoka mapema leo kuelekea Shinyanga kwa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Stand United utakaochezwa jumamosi kwenye uwanja wa Kambarage.

Msafara una wachezaji 18 pamoja na benchi la ufundi ukiwa na kiongozi wa msafara Kaimu Mwenyekiti ya klabu Samwel Lukumay.

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY