Habari mpya kutoka Yanga leo asubuhi

Habari mpya kutoka Yanga leo asubuhi

0

Habari mpya kutoka Yanga leo asubuhi

Klabu ya Yanga kupitia kurasa zake za Instagram na Twitter wameandika habari kuhusu kikosi chao ambapo wameandika kuwa Kikosi kimewasili jana usiku kutokea Shinyanga na kuingia Kambini tayari kwa mchezo wa Kesho Jumanne dhidi ya Kariobangi Sharks.

Install Simba na Yanga Breaking News App Hapa

Kikosi kimerejea salama jijini Dar es salaam jana usiku na kuingia kambini moja kwa moja tayari kwa maandalizi ya mashindano ya SportPesa Cup.

Mchezo wa kwanza kwetu utakuwa siku ya jumanne(kesho)uwaja wa Taifa saa 10 na 15 jioni dhidi ya KKSHARKS toka Kenya.

Wakubwa Wanafaidi Jionee Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY