Habari njema kutoka Yanga leo 21 january 2019

Habari njema kutoka Yanga leo 21 january 2019

0

Habari njema kutoka Yanga leo 21 january 2019

Jana klabu ya Yanga iliwasili Dar Es Salaam ikitokea Mkoani Shinyanga ilipotoka kucheza mchezo na wa Ligi kuu Tanzania Bara TPL na Stand United.

Nafasi zaidi ya 20 za Kazi leo 21 january 2019

Yanga imetua Dar huku Kesho ikiwa na Shughuli nyingine kucheza dhidi ya kariobangi Sharks ya kenya katika michuano inayoanza kesho ya Sportpesa Super Cup.

Kuelekea michuano hiyo habari ikufikie kuwa Kipa Ramadhan Kabwili leo ameanza mazoezi na wenzake baada ya kuwa majeruhi kwa muda na kuzikosa mechi mbili za yanga dhidi ya Mwadui na Ya Stand United dhidi ya Yanga.

Njia ya Kitamaduni baba kujua kama mtoto ni wako

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY