Habari njema kwa wana Yanga leo 16 January 2019

Habari njema kwa wana Yanga leo 16 January 2019

0

Habari njema kwa wana Yanga leo 16 January 2019

Baada ya mengi kusemwa kuhusiana na mchezaji Heritier Makambo baadhi ya taarifa kusema kuwa mchezaji huyo aliondoka nchini na amekuwa hapatikani anapotafutwa.

Taarifa nyingine zilienda mbali zaidi na kusema mchezaji huyo huenda asirejee tena Yanga kutokana na hali ngumu ya Kiuchumi.

Baada ya taarifa hizo habari njema ikufikie mwana Yanga kuwa mchezaji Heritier Makambo amerejea leo alfajiri akitokea kwao nchini Congo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY