Habari ya kusikitisha kutoka Yanga muda Huu.

Habari ya kusikitisha kutoka Yanga muda Huu.

0

Habari ya kusikitisha kutoka Yanga muda Huu.

Klabu ya Yanga kupitia ukurasa wake wa Instagram imetoa taarifa juu ya msiba wa BABA yake na Mchezaji Klaus Kindoki uliotokea huko Congo.

Taarifa hiyo inakuja ikiwa Yanga ilisafiri kwenda Shinyanga na makipa wawili tu Klaus Kindoki na Ibrahim Hamid

Taarifa ya Yanga imeeleza

Uongozi wa Yanga unatoa pole kwa mchezaji Klaus Kindoki pamoja na familia yake kwa kumpoteza Baba yake. Msiba upo kwao Congo DRC na mazishi yatafanyika siku ya Jumapili uko uko kwao Congo.

Pata Maujanja ya wakubwa Tu hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY