Ifahamu Kariobangi Sharks ya Kenya

Ifahamu Kariobangi Sharks ya Kenya

0

Ifahamu Kariobangi Sharks ya Kenya

Kariobangi Sharks ni klabu ambayo mwanzo ilikuwa injulikana zaidi kama Sharks au K Sharks ni timu ya Mpira wa Miguu ambayo makao yake makuu ni Nairobi Kenya katika eneo linalojulikana kama Kariobangi eneo ambalo liliwahi kuwa na Kundi pia la Muziki maarufu kama K South (Kariobangi South)

Kundi la Muziki wa Hip Hop lililokuwa na Nyota kama Bamboo na Abbas Kubaf kundi likianzishwa mwaka 1995 na kuwika vilivyo.

Kariobangi Sharks Fc timu ilianzishwa mwaka 2000 Na Ilishiriki ligi kuu mara ya Kwanza katika msimu wa mwaka 2017/2018 ikipanda kwa Kishindo na kufanikiwa kufanya vizuri na Kushika nafasi ya 6 kwenye msimamo wa Ligi kuu ya Kenya.

Kariobangi Sharks huvaa jezi za Njano na Kijani kama jezi zao za Nyumbani na Ugenini huku jezi yao ikiwa inaalama au logo ya Sharks na Maandishi

Simba yashusha wapya 2, wapiga mazoezi na Kikosi

Timu hii hufanyia mazoezi katika uwanja wa Chuo cha Utalii (Utalii College) ambapo walikubaliana na Chuo hiko kuwa wao watakuwa wanagharamia gharama za Kutengeneza na Kuujali uwanja huo

Hata hivyo HUTUMIA uwanja wa Kenyatta , Machakos na uwanja wa Narok kuchezea kwenye mechi zake za Ligi kuu.

Njia za Kusaidia Mwanaume asifike kileleni Mapema

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY