Je Kindoki atacheza mechi ya Stand? Mwenyewe afunguka haya

Je Kindoki atacheza mechi ya Stand? Mwenyewe afunguka haya

0

Je Kindoki atacheza mechi ya Stand? Mwenyewe afunguka haya

Wakati kukiwa na hali ya Taharuki juu ya Mchezaji Klaus Kindoki kama atacheza au hatacheza mchezo dhidi ya Stand United Uongozi wa Yanga umeibuka na kufunga kuwa taarifa za Msiba wa baba yake Kindoki zilikuwepo kwa muda lakini ilikuwa bado haijawa rasmi.

Na hata ilipokuja kuwa rasmi taarifa zilifika ikiwa zimechelewa kwa Kindoki, Hata hivyo Uongozi umefunguka kuwa Kindoki mwenyewe ameridhia kumaliza mchezo wa Jumamosi na Kisha ataenda Kuhani msiba ambapo kesho Jumapili ni Siku ya Mazishi.

Kindoki kwa kauli yake ameonekana kuwa tayari kwa mchezo dhidi ya Stand United kwani amesema baada ya mechi hiyo ndipo ataenda kwao kwaajili ya kuhani msiba.

” nimepata taarifa kwa kuchelewa na tayari nipo kambini kwa sehemu ya mchezo na wanazika jumapili. Nitacheza mechi na baada ya hapo nitaangalia namna ya kwenda nyumbani msibani. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe”  alisema Kindoki

Jifunze mambo mbali mbali hapa kuhusu Maujanja ya Kimapenzi – Wakubwa Wanafaidi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY