Kamusoko afunua ukweli anaondoka au anabaki Yanga?

Kamusoko afunua ukweli anaondoka au anabaki Yanga?

0

Kamusoko afunua ukweli anaondoka au anabaki Yanga?

Hatimaye kiungo fundi wa mpira kutoka Yanga Thaban Kamusoko amefunguka na kuweka wazi juu ya kauli yake aliyopost kupitia ukurasa wake wa Instagram post ikionekana kama ni ya kuaga watu wa Yanga.

Matokeo mapinduzi Cup Azam vs KMKM leo

Kamusoko alisema post aliyoiweka haikuwa inamaanisha anaondoka Yanga bali ilikuwa ni kuwashukuru washabiki na wapenzi wa Yanga kwa upendo wao.

Habari za jioni kwa mashabiki wangu na wale wote wanaonipenda..napenda kuchukua nafasi hii ili kueleza vizuri kuhusu post yangu ya juzi kwasababu naona watu wengine wamechukulia tofauti na wameiweka vibaya..mimi nime weka hio post kushukuru tu upendo kutoka kwenu mashabiki na watu wote wa @yangasc sio kwamba eti nilimaanisha kua naondoka hapana. Mimi nimeona ni post ili watu waone kua na appreciate upendo ambao munanipa sio kwamba naondoka kwenye timu nadhani nimeliweka sawa.Asanteni sana

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY