Kariobangi Mabingwa Sportpesa Super Cup 2019

Kariobangi Mabingwa Sportpesa Super Cup 2019

0

Kariobangi Mabingwa Sportpesa Super Cup

Timu ya Kariobangi Sharks ya Kenya imefanikiwa kutwaa uchampion wa Sportpesa Super Cup kwa mwaka 2019.

Kariobangi Sharks wamefanikiwa kuwa mabingwa baada ya kuwafunga bandari ya Kenya Pia kwa bapo moja kwa sifuri.

Goli jilo pekee la Karioabngi limewekwa kimyani na Harrison Mwendwa katika dakika ya 61 ya Mchezo.

Kabla ya Kuingia Fainali Kariobangi waliitoa Yanga katika robo Fainali, Mbao Fc nusu Fainali kwa Changamoto ya Mikwaju ya Penati nakisha leo wametwaa ubingwa wa Sportpesa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY