Kikosi bora cha Afrika 2018

Kikosi bora cha Afrika 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Kikosi bora cha Afrika 2018

CAF jana ilitoa tuzo kwa wachezaji wa Afrika waliofanya vizuri zaidi kwa mwaka 2018 huku pia wakitoa kikosi bora cha Afrika kwa mwaka 2018.

Hiki ndicho kikosi bora cha Afrika kwa mwaka 2018.

Denis Onyango (Mamelodi Sundowns/Uganda), Serge Aurier (Tottenham/Ivory Coast), Medhi Benatia (Juventus/Morocco), Eric Bailly (Manchester United/Ivory Coast), Kalidou Koulibaly (Napoli/Senegal); Naby Keita (Liverpool/Guinea), Thomas Partey (Atletico Madrid/Ghana), Riyad Mahrez (Manchester City/Algeria); Mohamed Salah (Liverpool/Misri), Pierre-Emerick Aubameyang (Arsenal/Gabon), Sadio Mane (Liverpool/Senegal)

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY