Ligi kuu soka ya Tanzania TPL kuendelea leo 3 January 2018

Ligi kuu soka ya Tanzania TPL kuendelea leo 3 January 2018

0

Ligi kuu soka ya Tanzania TPL kuendelea leo 3 January 2018

Baada ya jana kuchezwa jumla ya mechi 6 za ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL leo kutakuwa na mchezo mmoja wa ligi kuu Tanzania.

Mechi ya leo itakuwa kati ya Mwadui Fc ambayo itakuwa mwenyeji wa kikosi cha Ndanda Fc kutoka Mtwara.

Mechi hiyo itachezwa saa kumi kamili alasiri katika uwanja wa Mwadui (Mwadui Complex)

MATOKEO MECHI ZA JANA

Biashara United 2-1 Mbeya City.

Alliance FC 3-0 Ruvu Shooting.

Lipuli FC 1-0 TZ Prisons.

Stand United 1-0 JKT Tanzania.

Singida United 1-1 Coastal Union.

Kagera Sugar 0-0 Mbao FC.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY