Manara aamka na utani wa Jacob Massawe kwa wana Yanga

Manara aamka na utani wa Jacob Massawe kwa wana Yanga

0

Manara aamka na utani wa Jacob Massawe kwa wana Yanga

Rekodi ya Yanga ya kutopoteza mchezo hata mmoja wa ligi kuu TPL ulihitimishwa weekend iliyopita kwa Yanga kupoteza katika ardhi ya Shinyanga wakifungwa bao 1 kwa 0 na Stand United.

Bao hilo la dakika ya 88 lilifungwa na Jacob Massawe kijana ambaye ni mchaga na kabila ambalo limekuwa likionekana kupendelea zaidi biashara kuliko soka hasa kucheza.

Njia za Kusaidia Mwanaume asifike kileleni Mapema

Basi Haji Manara asubuhi tu ya Leo kaamka na Utani kwa wana Yanga kuhusu Jacob Massawe wa Stand United

Ifahamu Kariobangi Sharks ya Kenya

Jacob Massawe Mchaga wa Stand United aliyenaniliu ile naniu ya Gongowazi!!
Kuna watu wana zari sana,yaani jamaa hana duka la Mpesa wala Tigo Pesa ila kiulaini kawa wa kwanza kunaniliu!!😀

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY