Marcel Kaheza aanza vyema AFC Leopards

Marcel Kaheza aanza vyema AFC Leopards

0

Marcel Kaheza aanza vyema AFC Leopards

Mchezaji wa Simba aliyetolewa kwa Mkopo kwenda AFC Leopards Marcel Kaheza jana kwa mara ya kwanza alianza kwenye kikosi cha AFC Leopards kilichoshuka dimbani kucheza mechi ya Ugenini na Chemilil Sugar Fc.

Katika mchezo Huo Leopards walipata ushindi wa bao 2 kwa 1 huku Marcel Kaheza akitoa assist ya bao la Pili.

Mabao ya Leopards yalifungwa na Jaffery Oden goli la Kwanza na Goli la Pili likifungwa na Eugene Mukangula kwa Assist ya Marcel Kaheza.

Pata Maujanja ya wakubwa Tu hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY