Matokeo KMC vs Coastal Union leo

Matokeo KMC vs Coastal Union leo

0

Matokeo KMC vs Coastal Union leo

Mechi Imeanza

KMC 0 – 0 COASTAL

Dakika ya 10

KMC 0 – 0 COASTAL UNION

Goaaaaaal Dakika ya 15 Charles Ilamfya anaitanguliza KMC kwa bao la Kuongoza

KMC 1 – 0 Coastal Union

Goaaaaaal Dakika ya 21 Ally Msengi anaifungia KMC bao la Pili akiunganisha kona ya Mveyekule.

KMC 2 – 0 Coastal Union

HALF TIME

KMC 2 – 0 Coastal union

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 56 KMC wanapata penati baada ya Mo Rashid Kuwekwa chini

Wakati huo Baraka Mwamnyeto anapewa kadi ya Pili ya Njano na anatoka nje kwa kadi nyekundu

KMC wanakosa penati baada ya Mveyekule kupiga Nje

Goaaaal Ayub Lyanga dakika ya 68 anaipatia Coastal bao la Kwanza

KMC 2 – 1 Coastal

Goaaaal dakika ya 75 Emmanuel Mvuyekule anaipatia KMC bao la 3

KMC 3 – 1 Coastal Union

Goaaaaal Ayoub Lyanga anaturn na Kuweka shuti linalomshinda kipa Juma Kaseja

KMC 3 – 2 Coastal Union

Goaaaaal dakika ya 86 Elias Maguli anaipatia goli KMC dakika 3 tu toka ameingia

Goaaaaal Cliff Buyoya alieingia Kipindi cha Pili anaifungia bao KMC

KMC 5 – 2 Coastal Union

FULL TIME

KMC 5 – 2 Coastal Union

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY