Matokeo ligi kuu TPL Leo 14 January 2019

Matokeo ligi kuu TPL Leo 14 January 2019

0

Matokeo ligi kuu TPL Leo 14 January 2019

Ligi. Kuu Tanzania bara TPL imeendelea kwa mchezo mmoja kati ya Mbeya City na Mtibwa Sugar mechi ikichezwa uwanja wa sokoine jijini Mbeya.

Mechi hiyo imeisha kwa Mbeya City kushinda kwa bao 1 kwa 0 kupitia kwa Eliud Ambokile bao likipatikana kwa njia ya penati

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY