Matokeo Ligi kuu TPL leo 3 January 2019

Matokeo Ligi kuu TPL leo 3 January 2019

0

Matokeo Ligi kuu TPL leo 3 January 2019

Ligi Kuu Tanzania Bara Iliendelea kwa mechi moja kuchezwa kati ya Mwadui Fc dhidi ya Ndanda Fc.

Mwadui Fc ndiyo waliokuwa wenyeji wa Ndanda Fc mechi ikichezwa katika dimba la Mwadui Complex na mchezo ukimalizika kwa Mwadui Kuishindilia Ndanda bao 3 kwa 0.

Mabao ya Mwadui yamewekwa Kimyani na Mchezaji Ditraim Nchimbi aliyefunga mabao mawili na bao moja likifungwa na Frank Mbeshele.

Like ukurasa wetu wa Facebook Hapa kwa habari zaidi

Install Simba na Yanga Breaking News App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY