Matokeo mapinduzi Cup Azam vs KMKM leo

Matokeo mapinduzi Cup Azam vs KMKM leo

0

Matokeo mapinduzi Cup Azam vs KMKM leo

Nusu Fainali ya Kwanza ya michuano ya mapinduzi Cup imemalizika leo ambapo mechi ya kwanza ilikuwa kati ya Azam Fc dhidi ya KMKM Ya huko visiwani Zanzibar.

Azam Fc wamefanikiwa kutinga Fainali mara baada ya kuishinda KMKM kwa mabao matatu kwa 0

Azam walianza kupata bao mapema kipindi cha kwanza kupitia kwa Aggrey Moris akimalizia kwa kichwa mpira wa kona wa Enock Attah Agyei

Mabao mengine yalipatikana kipindi cha pili kupitia kwa Salum Aboubakary Sure Boy na Obrey Chiwa naye akamalizia bao la tatu dakika ya 82.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY