Matokeo mechi zote za Leo Azam Sports

Matokeo mechi zote za Leo Azam Sports

0

Matokeo mechi zote za Leo Azam Sports

Azam Sports Federation imeendelea leo kwa mechi tatu kuchezwa katika miji ya Morogoro, Songea na Dar Es Salaam.

Katika mechi za leo Mtibwa Sugar wamefanikiwa kuwaondoa Maji Maji ya Songea kwa kuifunga bao 2 kwa 1

Nao Mighty Elephant wakicheza nyumbani wamekubali kichapo cha bao 1 kwa 0 kutoka kwa Namungo Fc.

Azam Fc wakicheza Azam Complex wameifurusha nje Pamba fC Kwa kuichapa bao 2 kwa 0

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY